Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 10, 2026 Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 10, 2026 Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

7 884 просмотра · 8 часов назад
DW Kiswahili
334 тыс. подписчиков
7 884 просмотра · 8 часов назад
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 10, 2026 Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast Tamko la Rais wa Kenya William Ruto la kutaka kukomesha usafirishaji wa madini ghafi bila ya kuchakatwa, laashiria mabadiliko makubwa katika sera ya matumizi ya rasilmali za taifa hilo. Ethiopia yatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katiba. Shirika la madakitari wasiokuwa na mipaka MSF lataka watoto washirikishwe zaidi kwenye tafiti za dawa za Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliAsubuhi #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.