Eda ya Rais Samia: Kati ya Imani na Majukumu ya Urais.
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Eda ya Rais Samia: Kati ya Imani na Majukumu ya Urais.
8 108 просмотров · 21 час назад
DW Kiswahili
334 тыс. подписчиков
8 108 просмотров · 21 час назад
Sheikh Yusuf Abdi anafafanua hukumu ya eda kwa mwanamke aliyefiwa na mume, na namna inavyoweza kuhusiana na majukumu ya kikazi kwa mfano wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mjane na bado akitekeleza majukumu yake ya kitaifa. Tazama mahojiano kamili na Fathia Omar na sheikh huyo.