Перейти к содержимому

SIRI NZITO ACT-WAZALENDO: JINA LA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS LIMECHAGULIWA! JE ni OTHMAN MASOUD?

HARAKATI TV

0:00 / 0:00

SIRI NZITO ACT-WAZALENDO: JINA LA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS LIMECHAGULIWA! JE ni OTHMAN MASOUD?

15 714 просмотров · Трансляция закончилась 8 часов назад
HARAKATI TV
97,2 тыс. подписчиков
15 714 просмотров · Трансляция закончилась 8 часов назад
SIRI NZITO ACT-WAZALENDO: JINA LA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS LIMECHAGULIWA! JE ni OTHMAN MASOUD? ACT-Wazalendo imefanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini jina hilo bado halijawekwa wazi kwa umma. Katika video hii tunachambua kwa kina hatua mpya ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, baada ya Kamati ya Uongozi ya ACT-Wazalendo kukutana Septemba 16, 2026 na kufanya uteuzi wa jina ambalo litawasilishwa kwa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi. Lakini swali kubwa ni moja: Je, jina hilo ni Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman? Othman amewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na amekuwa sehemu muhimu ya mijadala ya kisiasa na mazungumzo kati ya Serikali na ACT-Wazalendo. Katika uchambuzi huu tunaangalia historia ya mchakato wa maridhiano, tamko la pamoja la CCM na ACT-Wazalendo, kuundwa kwa Kamati ya Majadiliano ya Pamoja na kinachofuata katika utekelezaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Pia tunakuletea mitazamo ya wachambuzi wa siasa Makame Ali Issa na Kiama Mwaimu kuhusu nafasi inayoweza kuchukuliwa na Othman na maana yake katika siasa za Zanzibar. Je, Othman Masoud Othman anarudi tena kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais? Au ACT-Wazalendo imechagua jina ambalo wengi hawalitarajii? Tazama video hadi mwisho kwa uchambuzi wa kina kuhusu kinachoendelea katika siasa za Zanzibar. Usisahau KU-SUBSCRIBE Harakati TV, kuwasha NOTIFICATION na kushiriki video hii ili kupata habari, siasa, uchambuzi na matukio yanayozungumzia Tanzania na Zanzibar. #OthmanMasoud #ACTWazalendo #Zanzibar #MakamuWaKwanzaWaRais #SUK #SerikaliYaUmojaWaKitaifa #CCM #HusseinMwinyi #SiasaZanzibar #HarakatiTV