Перейти к содержимому

BMT YAWATAKA WADAU KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUKUZA MICHEZO NCHINI

Nsc_bmt

0:00 / 0:00

BMT YAWATAKA WADAU KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUKUZA MICHEZO NCHINI

12 просмотров · 2 нед. назад
Nsc_bmt
717 подписчиков
12 просмотров · 2 нед. назад
“Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba wadau wa michezo kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza michezo nchini,” amesema Bw. Charles Maguzu, Afisa Michezo Mwandamizi, wakati wa hafla ya kuiaga Timu ya Taifa ya Rugby, Twiga Kings, inayokwenda kushiriki mashindano ya Obaro Seven nchini Afrika Kusini