GOFU YAPAMBA MOTO SERENGETI!
TANAPA DIGITAL
0:00 / 0:00
GOFU YAPAMBA MOTO SERENGETI!
1 231 просмотр · 2 нед. назад
TANAPA DIGITAL
523 подписчика
1 231 просмотр · 2 нед. назад
Mashindano ya gofu yanazidi kushika kasi katika viwanja vya Serengeti National Park Golf Course, yakileta msisimko wa ushindani wa kimichezo katikati ya mandhari ya kipekee ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Uwanja huu unafungua ukurasa mpya wa utalii wa michezo nchini Tanzania, ukiunganisha burudani ya gofu, uzuri wa asili na juhudi za uhifadhi.
Ufunguzi rasmi wa Serengeti National Park Golf Course ni tarehe 18 Oktoba 2026, hatua muhimu katika kukuza utalii wa michezo na kuitangaza Tanzania kimataifa.