Перейти к содержимому

NGUVU ZA KUKABILIANA NA UPINZANI WA MAFANIKIO YETU PART 4

Emmanuel Silomba

0:00 / 0:00

NGUVU ZA KUKABILIANA NA UPINZANI WA MAFANIKIO YETU PART 4

8 просмотров · 2 нед. назад
Emmanuel Silomba
40 подписчиков
8 просмотров · 2 нед. назад
   • NGUVU ZA KUKABILIANA NA UPINZANI WA MAFANI...   REV. EMMANUEL BARNABA SILOMBA Yatupasa tufahamu kuwa kuahidiwa na Mungu hakumaanishi kwamba hakutakuwa na upinzani katika utimiaji wake. Waamini wengi wakikutana na upinzani huvunjika moyo na kukata tamaa, halafu huonekana kana kwamba Mungu si mwaminifu, au pengine hawakumsikia Mungu sawasawa. Lakini tukumbuke kuwa Bwana Yesu alisema, “Tangu siku za Yohana mbatizaji hata sasa ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu huuteka.” (Mathayo 11:12). Katika somo hili tutajifunza nguvu mbili zinazohitajika kwa ajili ya kukabiliana na upinzani wa mafanikio yetu kupitia kisa kinachopatikana katika 2 Wafalme 3:4-27. Fungu hili la maandiko ni kisa cha vita kati ya Israeli na Wamoabi, iliyotokea baada ya kifo cha mfalme Ahabu. Ukitaka kujifunza zaidi au kupata vitabu vya USTAWI WA MWAMINI wasiliana nasi kupitia Simu/WhatsApp: +255 791 173 627. Waweza kutufuatilia pia kwenye Facebook na Instagram kwa Emmanuel Silomba, na Facebook page kwa Rev. Emmanuel Silomba. Tupo Dar Es Salaam, Temeke, Toangoma.