Перейти к содержимому

Vitafunwa vya bila ngano. Waffles za korosho Zinafaa kwa anaye punguza uzito,Kisukari nk [Lishe]

Dr Boaz Mkumbo MD

0:00 / 0:00

Vitafunwa vya bila ngano. Waffles za korosho Zinafaa kwa anaye punguza uzito,Kisukari nk [Lishe]

3 785 просмотров · 6 лет назад
Dr Boaz Mkumbo MD
101 тыс. подписчиков
3 785 просмотров · 6 лет назад
Soma Kitabu cha sayansi ya mapishi SAYANSI YA MAPISHI(KITABU) • Sayansi ya vyakula • Elimu ya Magonjwa ya Lishe • Kinatoa Orodha ya vyakula vinavyoruhusiwa na visivyoruhusiwa • Mpangalio wa vyakula kwa anayepunguza uzito,kisukari,Kitambi nk. • Namna ya kudhibiti uzito ukiwa unanyonyesha • Kanuni zilizowasaidia watu kudhibiti magonjwa ya lishe kwa kutumia chakula YALIYOMO KWENYE KITABU HIKI 1. Nini maana ya Sayansi ya Mapishi. 2. Nini Maana na historia fupi ya kitambi cha wanga. 3. Fikra potofu kuhusu kitambi na uzito mkubwa. 4. Elimu ya Kuhesabu kalori/kujinyima chakula na athari zake. 5. Mwongozo wa lishe jikoni mwako tangu mwaka 1977. 6. Sayansi ya vyakula vya Mafuta na cholesterol. 7. Jinsi vyakula vya sukari na wanga vinavyokuletea ugonjwa wa Gauti na sayansi ya nyama nyekundu na nyeupe 8. Orodha ya vyakula vinavyo ruhusiwa na visivyo ruhusiwa kula. 9. Ugonjwa wa Kisukari na suluhisho lake. 10. Kitambi na afya ya mwanamke. 11. Vyakula vya wanga na kitambi. 12. Je,wembamba,kilo ndogo ni ishara ya afya njema? 13. Mapishi mbalimbali mbadala wa ngano na vyakula vya wanga na sukari. KINASAIDIA: Mtu yeyote mwenye maradhi yafuatayo: • Kisukari | Uzito mkubwa | Mvurugiko wa homoni | Nguvu za Kiume | Presha | Pumu | Vidonda vya tumbo na Mtu yeyote anayependa kulinda afya yake. DUKA LIPO: Mwananyamala mkabala na hospitali ya mwananyamala,jirani na ofisi ya mtaa minazini. Oda zote kwa namba: 0787 999 994 | 0767 074 124 TUNA MAWAKALA ZAIDI YA MIKOA KUMI NA TANO (15) KWA DAR ES SALAAM TUNAFANYA DERIVERY.