Перейти к содержимому

Drama - Unanionea

DramaOfficial

0:00 / 0:00

Drama - Unanionea

5 195 просмотров · 2 месяца назад
DramaOfficial
706 подписчиков
5 195 просмотров · 2 месяца назад
Kuna nyimbo huzaliwa kwa ajili ya kuburudisha, lakini kuna nyimbo huzaliwa kutokana na maumivu ya kweli. Huu ni mmoja wa nyimbo hizo. Wimbo huu ni simulizi ya changamoto nilizopitia kwenye mahusiano. Kuna wakati nilidhani kila kitu kitaenda sawa, lakini maisha yalikuwa na somo tofauti. Nilipitia maumivu, kuvunjika moyo, maswali mengi, na nyakati ambazo zilinifanya nijitafute upya🎧💔 Nimeandika wimbo huu kwa moyo wote nikiamini kwamba si mimi peke yangu niliyekutana na hali kama hii, Kama umewahi kupenda kwa dhati ukasalitiwa kuachwa au kupigania penzi mpaka ukachoka, naamini utajiona ndani ya mistari ya wimbo huu. Kama umeuguswa na ujumbe wake, usisahau ku SUBSCRIBE na kushare wimbo huu na mtu ambaye unahisi utampa nguvu au atajiona ndani ya simulizi hii Asante ❤️ #dramatz #goodmusic #zanzibarmelody