Перейти к содержимому

JE UNATAKA UANGALIWE NA BWANA YESU - Isaya 57 : 15

SAYUNI EAGT CHURCH

0:00 / 0:00

JE UNATAKA UANGALIWE NA BWANA YESU - Isaya 57 : 15

540 просмотров · Трансляция закончилась 2 г. назад
SAYUNI EAGT CHURCH
8,05 тыс. подписчиков
540 просмотров · Трансляция закончилась 2 г. назад
Neno kuangalia limetafsiriwa vizuri na Biblia ya International " This is the one i esteen " Neno esteen maana yake ni kuheshimu au kustahi au kutukuza!! : Mungu naye anapenda kuwatukuza watu wakw au anapenda kuwastahi au anapenda kudhamiria kutozitenda kabisa na kuishi kwa unyenyekevu mbele zake daima Isaya 66 : 2b 2. Kama kuna mahala shetani amepashikilia mno katika maisha ya mwanadamu ni hapa «kuhakikisha mwanadamu anakosa roho ya TOBA" Matendo. 3 : 19 - 21; 1 Samwl. 15 : 1 - 21. Kwa nini shetani anawafanya wanadamu wawe wagumu sana kutubu dhambi zao mbele za Mungu? Ni kwa sababu yeye shetani amenyimwa kabisa nafasi ya kutubu dhambi zake mbele za Mungu; yeye tayari alishahukumiwa na kinachongojewa ni utekelezwaji wa hukumu hiyo tu!! Lakini kama angepewa nafasi ya kutubu hata leo; shetani angetubu kwa kugaragara miguuni pa Mungu na kulia sana !! Yohana. 16 : 11. Wanadamu wanaona leo swala la kutubu dhambi zao na hasa wanazozifanya kwa kificho (sirini) kama ni jambo la kujiaibisha na kujidhalilisha, ni kama jambo la kujivunjia heshima na kujiondolea hadhi yao!! Note. Kukataa kutubu dhambi zako na kuziacha kabisa ni kitendo cha kujiondolea fursa ya kuangaliwa na Mungu aliyemtakatifu sana katika maisha yako. Isaya. 66 : 2. 3.) Mungu anavutiwa sana na mtu anayetubu dhambi zake na kutozitenda tena. Luka. 23 : 39 - 43 ; Mathayo. 26 : 69 - 75, Luka. 5 : 1 - 11, Yohana. 21 : 6 - 8. 2 Samweli. 12 : 1 - 13; Zaburi 51 : 1 - 17; 2 Samweli 24 : 10 - 17 Note. Watu wakuu sana katika Biblia ambao Mungu alivangalia ni watu wote waliotubu na kujutia sana dhambi zao na kutozirudia tena; na watu wote waliojaa roho ya kujitetea kama Mfalme Sauli Mungu aliwaacha na mwisho wao ukawa mbaya mno.