Перейти к содержимому

KARAMA YA IMANI. 1WAKORINTHO. 12 : 4 - 11, WAEBRANIA. 11 : 1 , 6

SAYUNI EAGT CHURCH

0:00 / 0:00

KARAMA YA IMANI. 1WAKORINTHO. 12 : 4 - 11, WAEBRANIA. 11 : 1 , 6

249 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
SAYUNI EAGT CHURCH
8,05 тыс. подписчиков
249 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
UTANGULIZI: Nini hasa maana ya Karama ya imani? Ni uwezo anaopewa Mteule na Roho Mtakatifu wa kutamka jambo akiwa na uhakika kabisa moyoni mwake kwamba limekuwa bila woga wala wasiwasi kabisa (anakuwa na uhakika kabisa moyoni mwake kwamba kile alichokisema kimetendeka katika ulimwengu wa roho hata kama katika ulimwengu wa mwili bado hakuna dalili zozote zinazoonyesha kwamba kuna kitu kimetendeka. Mark. 11:12 - 14, halafu Mark. 11:20 - 24 - hasa mst. 22 - 24) Uwezo wa kuamini kwamba haya ninayosema tayari yametokea/ yametenda kazi ni siri ya ajabu ambayo Yesu Kristo aliwaambia wanafunzi wake kwamba hajaona imani kubwa kama ile katika Israeli - Math. 8:5 - 13