Перейти к содержимому

MWENDOKASI WAIFIKIA SANAMU LA ASKARI, BARABARA SAMORA YAFUNGWA

Daily News Digital

0:00 / 0:00

MWENDOKASI WAIFIKIA SANAMU LA ASKARI, BARABARA SAMORA YAFUNGWA

1 442 просмотра · 1 год назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
1 442 просмотра · 1 год назад
DAR ES SALAAM: SANAMU la Askari, moja ya alama kuu za kihistoria jijini Dar es Salaam, lipo kwenye maboresho kupisha matengenezo ya miundombinu ya Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), maarufu 'Mwendokasi'. Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Tanzania kupunguza msongamano wa magari katika jiji la biashara. Sanamu hilo, lililoko katika eneo la Posta Mpya, limekuwa kivutio cha kihistoria na kielelezo cha mchango wa askari wa Kiafrika waliopigana Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09