Перейти к содержимому

MAHUBIRI: DOMINIKA YA 24 MWAKA A - SAMEHE: Ondoa Sumu Moyoni | Pd. Dr. Cajetan Kazi

HABARI NJEMA CHANNEL

0:00 / 0:00

MAHUBIRI: DOMINIKA YA 24 MWAKA A - SAMEHE: Ondoa Sumu Moyoni | Pd. Dr. Cajetan Kazi

2 749 просмотров · 1 мес. назад
HABARI NJEMA CHANNEL
4,37 тыс. подписчиков
2 749 просмотров · 1 мес. назад
SAMEHE: Ondoa Sumu Moyoni | Mahubiri Dominika ya 24 Mwaka A ​Karibu kusikiliza na kutafakari Neno la Mungu katika Mahubiri ya Dominika ya 24 ya Mwaka A wa Kanisa, yakiongozwa na Pd. Dr. Cajetan Kazi. ​Katika mahubiri haya ya kina, tunafundishwa umuhimu wa kusamehe kutoka rohoni. Chuki na kutosamehe ni sumu inayoharibu amani ya moyo na mahusiano yetu na Mungu pamoja na wanadamu. Jifunze jinsi ya kuondoa sumu hii na kuishi katika amani na rehema za Mungu. ​📖 * Masomo ya Leo:* • Somo la Kwanza: Yosua bin Sira 27:30 – 28:7 • Zaburi ya Wimbo: Zaburi 103 • Somo la Pili: Warumi 14:7-9 • Injili Takatifu: Mathayo 18:21-35 ​📌 Kumbuka: Subscribes, Like, na Share video hii ili ujumbe huu wa Rehema na Msamaha uwafikie wengi zaidi. ​#HabariNjema #Mahubiri #DominikaYa24 #PdDrCajetanKazi #Katoriki #NenoLaMungu#DominikaYa24 #DominikaYa24MwakaA #MwakaA #PdDrCajetanKazi #PadreCajetanKazi #SameheOndoaSumuMoyoni #Samehe #OndoaSumuMoyoni #Msamaha #MahubiriYaDominika #MahubiriYaLeo #NenoLaMungu #HabariNjema #GospelMessage #CatholicHomily #KanisaKatoliki #MahubiriYaKatoliki #TafakariYaLeo #TafakariYaDominika #MasomoYaDominika #Mathayo18 #IbadaYaLeo #MafundishoYaDini #MamboYaMungu #AmaniYaMoyo #Kusamehe #ChukiNaMsamaha #IbadaKatoliki #SwahiliPreaching #SwahiliHomily #TanzaniaCatholic #RadioMariaTanzania #Jugemu #Katoriki #PadreKazi #DrCajetanKazi #MahubiriYaKiswahili #UjumbeWaLeo #NenoLaSiku #MasomoYaMisa #MisaTakatifu #MisaYaDominika #InjiliYaLeo #UpendoNaMsamaha #RehemaZaMungu #MoyoSafi #OndoaChuki #JifunzeKusamehe #KatorikiTanzania #ChristianPreaching #CatholicSermon #SundayHomily #SundaySermon #YearAHomily #ForgivenessSermon #CatholicFaith #SwahiliGospel #RomanCatholicTanzania #NenoLaUzima ​