JE? UNAJUA AJALI ZA BARABARANI ZINAEPUKIKA?
TriGen Media
0:00 / 0:00
JE? UNAJUA AJALI ZA BARABARANI ZINAEPUKIKA?
1 991 просмотр · 6 месяцев назад
TriGen Media
5,41 тыс. подписчиков
1 991 просмотр · 6 месяцев назад
Uzembe,ulevi na upuuziaji sheria za barabarani ni baadhi ya mambo yanayotajwa kwa kiasi kikubwa, kusababisha ajali za barabarani nchini Tanzania. Kwa walio wengi bado hawana uelewa wa kutosha juu ya sheria za Usalama barabarani,na matumizi sahihi ya vyombo vya usafiri.
Kutokana na umuhimu huo,Trigen Media kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Polisi,Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Kitengo cha dawati la elimu kwa umma,Makao Makuu imeanza kukuletea mfululizo wa Makala maalumu ili kupunguza ama kuondoa kabisa ajali za barabarani.