Karama ya Kunena kwa Lugha (1 Wakorintho 12:10, Daniel 5: 23-29, 1 Wakorintho 13:1) | Mtume Meshak
Ukweli Ministries
0:00 / 0:00
Karama ya Kunena kwa Lugha (1 Wakorintho 12:10, Daniel 5: 23-29, 1 Wakorintho 13:1) | Mtume Meshak
12 346 просмотров · 4 года назад
Ukweli Ministries
40,7 тыс. подписчиков
12 346 просмотров · 4 года назад
Kwa sababu ya ukosefu wa Roho Mtakatifu, makanisa mengi leo hayana ufahamu wa karama za kiroho. Sasa tuko katika wakati ambapo wachungaji na baba wa kiroho wanafundisha waumini wao jinsi ya kunena kwa lugha. Nitagusa karama ya kunena kwa lugha, na nitatofautisha aina mbalimbali za lugha na matumizi yake katika kanisa.