Перейти к содержимому

WANAWAKE KWENYE NDOA WANAPENDA WANAUME SINGO! | SIDE A | SIDE B — EP. 04

StudioWeAfrica

0:00 / 0:00

WANAWAKE KWENYE NDOA WANAPENDA WANAUME SINGO! | SIDE A | SIDE B — EP. 04

7 595 просмотров · 6 дней назад
StudioWeAfrica
2,08 тыс. подписчиков
7 595 просмотров · 6 дней назад
Episode ya 4 ya Side A | Side B inaingia moja kwa moja kwenye mjadala ambao wengi tunauzungumzia, lakini si wote tunakubali majibu yake. Je, unaweza kuwa kwenye ndoa bila pesa na bado ukaishi maisha ya furaha?Je, wanawake walioolewa wanacheat zaidi kuliko wanaume walio single?Je, kuwa single siku hizi ni uhuru au ni upweke uliofichwa?Je, ndoa ni kuhusu kumpata mtu sahihi au kuwa tayari kujenga maisha pamoja?Na je, kweli watu wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya mapenzi, au presha ya jamii? Katika Side A, tunasikia hoja za wanaoamini ndoa ndiyo njia bora ya kuishi na kujenga maisha na mtu unayempenda. Tazama episode nzima, subscribe, like na ushiriki maoni yako kwenye comments. Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii: Instagram: @studiowefrica TikTok: @studiowefrica X: @studioweafrica Facebook: @StudioWeAfrica