VYETI HAVINA MANUFAA MTAANI! | SIDE A | SIDE B — EP. 03
StudioWeAfrica
0:00 / 0:00
VYETI HAVINA MANUFAA MTAANI! | SIDE A | SIDE B — EP. 03
34 083 просмотра · 1 месяц назад
StudioWeAfrica
2,36 тыс. подписчиков
34 083 просмотра · 1 месяц назад
Katika episode hii ya StudioWeAfrica, tunaingia kwenye mjadala kuhusu elimu ya mtaani na elimu ya darasani. Je, mafanikio ya maisha yanahitaji vyeti na elimu rasmi, au uzoefu wa maisha na mambo tunayojifunza mtaani una nafasi kubwa zaidi?
Wewe unaamini nini? ELIMU YA MTAANI au ELIMU YA DARASANI?
Tazama episode nzima, subscribe, like na ushiriki maoni yako kwenye comments.
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii:
Instagram: @studiowefrica
TikTok: @studiowefrica
X: @studioweafrica
Facebook: @StudioWeAfrica