Перейти к содержимому

Ifahamu Historia Kamili ya Mwalimu Paschal Mwarabu | Mtunzi & Gwiji wa Muziki Mtakatifu Tanzania.

Radio Maria Tanzania

0:00 / 0:00

Ifahamu Historia Kamili ya Mwalimu Paschal Mwarabu | Mtunzi & Gwiji wa Muziki Mtakatifu Tanzania.

3 673 просмотра · 2 года назад
Radio Maria Tanzania
98,7 тыс. подписчиков
3 673 просмотра · 2 года назад
Wakati Mama Kanisa anaadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa Bikira Maria Mtakatifu, Radio Maria Tanzania inakualika kufuatilia kipindi maalumu mahojiano na Mwalimu Paschal Florian Mwarabu, Mtunzi & Gwiji wa Muziki Mtakatifu wa Kanisa Katoliki. Mtangazaji ni Happiness Mlewa Camera Erick Paschal Mhariri ni Erick Paschal & Emanuel Mushi. © Radio Maria Tanzania 2024