Askofu Mwijage: Tusimame imara katika Imani/ Tuzifuate amri za Mungu/ Buriani Padre Melchior Kato
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
Askofu Mwijage: Tusimame imara katika Imani/ Tuzifuate amri za Mungu/ Buriani Padre Melchior Kato
338 просмотров · 1 г. назад
Radio Mbiu
31,9 тыс. подписчиков
338 просмотров · 1 г. назад
HOMILIA YA MAZISHI - BUKOBA
Homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Padre Melchior Kato, aliyekuwa Paroko msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Yohane Paulo II - Rwamishenye, Jimbo Katoliki Bukoba.
Misa Takatifu iliadhimishwa May 5 2025 na Mhashamu Jovitus Mwijage Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, katika Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni - Rubya, Jimbo Katoliki Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#rmsautiyafaraja