Askofu Mwijage alivyowapangia Mapadre Wapya Utume na kuainisha mabadiliko ya Mapadre.
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
Askofu Mwijage alivyowapangia Mapadre Wapya Utume na kuainisha mabadiliko ya Mapadre.
12 391 просмотр · 1 г. назад
Radio Mbiu
31,9 тыс. подписчиков
12 391 просмотр · 1 г. назад
MISA TAKATIFU YA UPADRISHO KIBETA - BUKOBA
▪︎ Mhashamu Jovitus Mwijage, aliposoma utume wa mapadre Jimboni Bukoba wakati wa adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu ya utolewaji wa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Shemasi Evodius Timanywa, kutoka Parokia Teule ya Mtakatifu Paulo Miki - Kibeta Jimbo Katoliki Bukoba.
▪︎ Misa takatifu imeadhimishwa na Mhashamu Jovitus Mwijage Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba.
.
.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja