Vita Ya Maneno Yachacha! Kenyan Gen Z vs Samia Suluhu – Hii Ni Kali Sana! 🇰🇪🇹🇿
MIZUKA MEDIA
0:00 / 0:00
Vita Ya Maneno Yachacha! Kenyan Gen Z vs Samia Suluhu – Hii Ni Kali Sana! 🇰🇪🇹🇿
79 565 просмотров · 4 месяца назад
MIZUKA MEDIA
188 тыс. подписчиков
79 565 просмотров · 4 месяца назад
Vita ya maneno imechacha kati ya vijana wa Kenya (Gen Z) na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, baada ya kauli yake ya utata ya “wapigwe mikwaju” kuibua hasira mitandaoni. Katika video hii, tumekusanya reactions kali kutoka kwa Kenyan Gen Z wakimjibu vikali na kumkosoa kwa kuingilia masuala ya Kenya.
Je, kauli ya Samia ilikuwa sahihi au imevuka mipaka? Kwa nini vijana wa Kenya wamechukizwa kiasi hiki? Hii ni moja ya mijadala mikubwa Afrika Mashariki kwa sasa ikihusisha siasa, uhuru wa kujieleza, na nguvu ya Gen Z kwenye mitandao.
Tazama hadi mwisho kuona maoni tofauti, hasira za vijana, na ukweli mzima kuhusu sakata hili linalotikisa Kenya na Tanzania.
👉 Usisahau LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE kwa MIZUKA MEDIA kwa habari motomoto za burudani na siasa kutoka Afrika Mashariki.
#KenyanGenZ
#SamiaSuluhu
#KenyaVsTanzania
#Mikwaju
#EastAfricaNews
#MizukaMedia