Перейти к содержимому

Kenya vs Tanzania? Samia Azua Vita Mpya Mitandaoni – Gen Z Wamjia Juu

MIZUKA MEDIA

0:00 / 0:00

Kenya vs Tanzania? Samia Azua Vita Mpya Mitandaoni – Gen Z Wamjia Juu

162 788 просмотров · 1 год назад
MIZUKA MEDIA
188 тыс. подписчиков
162 788 просмотров · 1 год назад
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezua mjadala mkali baada ya kutangaza marufuku kwa wageni kufanya biashara ndogo ndogo nchini Tanzania kama vile saluni, hoteli ndogo, uuzaji wa matunda, na uuzaji wa mtaani. Sasa, Wakenya wamechachamaa! Katika video hii, tunaangazia reactions kali kutoka kwa Gen Z wa Kenya, wanaharakati, na raia wa kawaida waliopaza sauti mitandaoni dhidi ya hatua hii ya Rais Samia. Wengine wanadai Tanzania inaichukia Kenya, wengine wakisema huu ni ubaguzi dhidi ya Afrika Mashariki. Lakini je, haya ni maamuzi ya kulinda uchumi wa taifa lake? Au ni dalili ya mgogoro unaozidi kuchemka kati ya Kenya na Tanzania? Tazama video hii hadi mwisho ujionee jinsi Wakenya wanavyojibu na pia tazama kilichosemwa na viongozi wa Tanzania kuhusu umuhimu wa Kenya kwa taifa lao. --- ✅ Usisahau ku-subscribe kwa habari moto zaidi kuhusu mastaa, siasa, na lifestyle Afrika Mashariki! #SamiaSuluhu #KenyaVsTanzania #GenZKenya #BiasharaNdogo #SiasaZaAfrikaMashariki #MizukaMedia