Перейти к содержимому

MBUNGE WA VITI MAALUMU CHAUMMA NJOMBE KUMSAIDIA KIJANA MAARUFU MASIMBA WA NJELELA

CLOUDS HABARI

0:00 / 0:00

MBUNGE WA VITI MAALUMU CHAUMMA NJOMBE KUMSAIDIA KIJANA MAARUFU MASIMBA WA NJELELA

28 009 просмотров · 12 дн. назад
CLOUDS HABARI
2,26 тыс. подписчиков
28 009 просмотров · 12 дн. назад
Mbunge Wa Viti Maalumu Chaumma Mkoa Wa Njombe Sigrada Mligo Kumsaidia Kijana Alvin Charles Kiswaga Maarufu Masimba Kipaji Chake Ili Asaidie Wazazi Wake Kijijini. Mbunge Wa Viti Maalumu Kupitia CHAUMMA Mkoa Wa Njombe Sigrada Mligo Amekutana Na Kufanya Mazungumzo Na Kijana Alvin Charles Kiswaga Aliyejipatia Umaarufu Kupitia Video Mjongeo Mitandaoni Ya Masimba Kutoka Kijiji Cha Njelela Wilayani Ludewa Mkoani Njombe Na Kisha Kuahidi Kumtafutia Chumba Cha Kuishi Na Kumlipia Kodi Mwaka Mzima,Kumnunulia Kitanda ,Godoro,Mahitaji Yote Ya Nyumbani Pamoja Na Simu Janja Ili Aweze Kujitafutia Liziki Kupitia Uzalishaji Wa Maudhui Ya Mtandaoni.