Перейти к содержимому

Kuna mambo yanahitaji maombi ili yawe sawa | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Kuna mambo yanahitaji maombi ili yawe sawa | UTV Tanzania

500 просмотров · 1 дн. назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
500 просмотров · 1 дн. назад
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema kama taifa inabidi kuweka tofauti zetu mbali na kuliombea taifa kwasababu kuna mambo ili yaende sawa nchini yanahitaji kuombewa. Sumaye ameeleza kuwa lengo la kuwakutanisha Watanzania ni kuliombea taifa sio mambo ya kisiasa hivyo watajitahidi kuzuia ishara yoyote ya kisiasa isijitokeze.