Kilichomtokea Mwalimu Nyerere aliposafiri na nguo moja | UTV Tanzania
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Kilichomtokea Mwalimu Nyerere aliposafiri na nguo moja | UTV Tanzania
1 052 просмотра · 14 часов назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
1 052 просмотра · 14 часов назад
Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kulazimika kutumia pasi ya mkaa kukausha nguo yake baada ya kunyeshewa mvua alipokuwa Pemba, ili aweze kuhudhuria mkutano Unguja mwaka 1985. Tukio hilo linaelezwa kuwa sehemu ya maisha yake yaliyodhihirisha unyenyekevu na kutopenda anasa, licha ya nafasi kubwa aliyokuwa nayo katika uongozi wa taifa.
Akisimulia kisa hicho, aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Rashed Mohamed, amesema Nyerere alikuwa amesafiri na nguo moja tu, hali iliyomlazimu kusubiri nguo hiyo ikauke kwa kutumia pasi ya mkaa kabla ya kuendelea na majukumu yake