WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA BANDARI YA TANGA, AIPONGEZA TPA KWA KUONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI HIO
Hazina TV - Wizara ya Fedha
0:00 / 0:00
WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA BANDARI YA TANGA, AIPONGEZA TPA KWA KUONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI HIO
206 просмотров · 3 мес. назад
Hazina TV - Wizara ya Fedha
8,95 тыс. подписчиков
206 просмотров · 3 мес. назад
Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameipongeza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kuongeza ufanisi wa Bandari ya Tanga kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika kuboresha miundombinu ya bandari hiyo, hatua ambayo imeiwezesha kupokea meli kubwa za mizigo kutoka mataifa mbalimbali duniani na kuongeza mchango wake katika uchumi wa Taifa.