ROHO WA UFAHAMU
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
0:00 / 0:00
ROHO WA UFAHAMU
10 просмотров · Трансляция закончилась 13 дней назад
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
322 подписчика
10 просмотров · Трансляция закончилась 13 дней назад
🙏 KARIBU KWENYE IBADA YA JUMAPILI 🙏
IBADA YA UPONYAJI WA MATATIZO SUGU KUPITIA MEZA YA BWANA
🔥 Leo tunamkaribia Mungu kwa imani, tukiamini kwamba Yesu Kristo ndiye mponyaji na mwenye uwezo wa kuleta uponyaji, urejesho na mabadiliko katika maisha yetu.
📖 SOMO: ROHO WA UFAHAMU
🕊️ Njoo ukiwa na imani na moyo wa kutarajia. Mungu anaweza kufanya jambo jipya katika maisha yako.
📺 USIKOSE KUSHIRIKI IBADA HII LIVE
👍 Bonyeza LIKE
🔔 SUBSCRIBE kwenye channel
📲 SHARE na mtu mwingine ili naye apate nafasi ya kushiriki ibada.
🙏 NAMBA YA SADAKA M-PESA:
0755562992
JINA: MOSES YOHANA ANDREA
WINDOW OF HOPE MINISTRIES – NURU YA WOKOVU CHURCH
📖 “Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu; nimwogope nani?” — Zaburi 27:1