ROHO WA HEKIMA
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
0:00 / 0:00
ROHO WA HEKIMA
4 просмотра · Трансляция закончилась 2 недели назад
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
322 подписчика
4 просмотра · Трансляция закончилась 2 недели назад
🌟 KARIBU KWENYE IBADA YA JUMAPILI 🌟
🔥 MAJINA YA ROHO MTAKATIFU NA MAANA ZAKE 🔥
📖 SOMO: ROHO WA HEKIMA
✨ “KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA” ✨
📖 Mathayo 19:26
🕊️ Karibu tushiriki pamoja katika uwepo wa Roho Mtakatifu, tukijifunza kuhusu Roho wa Hekima, nguvu zake na jinsi anavyoweza kutuongoza katika maisha yetu.
🙏 TUKUTANE KWENYE IBADA!
Usikose maombi, mafundisho ya Neno la Mungu na uwepo wa Roho Mtakatifu.
👤 Mhubiri: Pastor Moses Yohana
💰 NAMBA YA SADAKA – M-PESA
📱 0755562992
JINA: MOSES YOHANA ANDREA
🔥 KARIBU IBADANI — KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA! 🔥
WINDOW OF HOPE MINISTRIES – NURU YA WOKOVU CHURCH
📖 Zaburi 27:1