Перейти к содержимому

Kwanini Hupati Kazi Canada 🇨🇦? CV and cover letter kwa Farm Work, Cleaner & Kitchen Jobs

leza tv canada

0:00 / 0:00

Kwanini Hupati Kazi Canada 🇨🇦? CV and cover letter kwa Farm Work, Cleaner & Kitchen Jobs

26 512 просмотров · 1 год назад
leza tv canada
50 тыс. подписчиков
26 512 просмотров · 1 год назад
Unatuma maombi ya kazi Canada ukiwa Kenya, Tanzania au Congo lakini hupati majibu? 😩 Labda CV yako au Cover Letter si ya mfumo wa Canada! In this video, I explain: ✅ Sababu kuu kwanini watu wa East Africa hawapati kazi Canada ✅ Jinsi ya kuandika CV na Cover Letter inayokubalika Canada ✅ Farm work, cleaning, na kitchen helper CV example ✅ Tips za kupita ATS system ya waajiri wa Canada 🎯 Hii video ni kwa ajili ya watu wanaotafuta kazi Canada wakiwa bado Afrika! 📥 Download Free CV & Cover Letter Templates hapa chini 🔔 Subscribe kwa Leza TV Canada kwa videos zaidi kuhusu kazi, maisha, na immigration! 👇 Acha comment kama unahitaji msaada wa kupata job links mpya! #CVYaCanada #CanadaJobs2025 #FarmJobsCanada #KitchenJobsCanada #CleanerJobsCanada #LezaTVCANADA #EastAfricaToCanada #TafutaKaziCanada #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #CongoToCanada