Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 07.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 07.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

4 021 просмотр · Трансляция закончилась 5 часов назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
4 021 просмотр · Трансляция закончилась 5 часов назад
Miongoni mwa tuliyokuandalia +++ Nyota wa kandanda wa Argentina Lionel Messi ametangaza kustaafu soka, akihitimisha safari iliyojaa mafanikio makubwa na rekodi nyingi za kihistoria. +++ Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameadhimisha miaka mitatu ya shambulizi la Oktoba 7 nchini Israel kwa kuapa kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi nchini Ujerumani. +++ Na vikosi vya Eritrea vimekita kambi katika mji mmoja ulioko eneo la kaskazini mwa Tigray nchini Ethiopia. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.