13. UNABII WA UONGO
Habari Njema Media
0:00 / 0:00
13. UNABII WA UONGO
262 просмотра · 1 месяц назад
Habari Njema Media
16,2 тыс. подписчиков
262 просмотра · 1 месяц назад
Ulishawahi kujihoji kwanini biblia inasema Kanaani atakuwa mtumwa wa ndugu zake?! Je utumwa ambao biblia inasema ni utumwa wa kimwili au kiroho?! Lakini je ulishawahi kujioji kama utumwa ule ulikuwa wa kimwili kwa waafrika inakuaje tunaona utumwa katika jamii zote za ulimwenguni na sio kwa waafrika pekee?! Nani yupo nyuma ya fundisho hilo na tafsiri hiyo ya maandiko?! Kwa nini kama familia ya Hamu yote ilipaswa kuwa watumwa, kwanini tunaona Nimrod, Wakuu wa Kimisri wakitumikisha watu wa Mungu badala ya wao kuwa watumwa?! Lakini pia kwanini tunaona watoto wa Shemu kama Ashuru wakiwatumikisha wenzao kama Israel na kuwachukua utumwa?! Mwisho ni kwanini katika jamii ya watu wa Mungu hatuoni namna hiyo ya utumwa?! Unapokuwa unang'amua majibu ya maswali hayo kupitia somo hili!Barikiwa sana unapotazama na kushirikisha mbaraka huu kwa watu wengine 🙏🙏🙏