🔴LIVE | IBADA YA JUMAPILI | SUNDAY SERVICE | UWEZA WA BWANA
UWEZA WA BWANA
0:00 / 0:00
🔴LIVE | IBADA YA JUMAPILI | SUNDAY SERVICE | UWEZA WA BWANA
88 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
UWEZA WA BWANA
1,75 тыс. подписчиков
88 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Karibu sana katika Ibada hii ya kurudisha ile kiu ya kumtafuta na kumtumikia MUNGU na kumtii.
✝️ Kanisa la Uweza wa Bwana Makao Makuu Arusha
📺Tazama, shiriki, barikiwa!
Hapa utapata:
✝️ Mahubiri
✝️Maombi ya nguvu na ukombozi
✝️ Ibada ya uponyaji na miujiza
✝️ Mafundisho ya Biblia
✝️ Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu
✝️ Vipindi vya kiroho vinavyokujenga katika imani
Lengo letu ni kueneza Injili ya Yesu Kristo, kuwafikia watu wenye uhitaji wa Mungu, na kuwaimarisha katika imani, tumaini na maisha ya ushindi.
Kama umebarikiwa na video hii, usisahau kulike, kushare na ndugu/ marafiki, kusubscribe ili usipitwe na vipindi vyetu vijavyo. Mungu akubariki sana.
👍LIKE | COMMENT |🔔SUBSCRIBE kwa Ibada kama hizi zenye mafundisho na miujiza.
#uwezawabwana #AmosMapigano #Maombi #Mahubiri #YesuKristo #Injili #Uponyaji #Ukombozi #Mafundisho #NenolaMungu