🔴LIVE | IBADA YA JUMAPILI YA KUSAFISHA MATUMBO TAREHE 11.10.2026 | NABII AMOS MAPIGANO
UWEZA WA BWANA
0:00 / 0:00
🔴LIVE | IBADA YA JUMAPILI YA KUSAFISHA MATUMBO TAREHE 11.10.2026 | NABII AMOS MAPIGANO
123 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
UWEZA WA BWANA
1,73 тыс. подписчиков
123 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
Karibu sana katika Ibada hii ya Jumapili iliyojaa UTUKUFU wa MUNGU kwaajili ya kuwaponya na kujibu maombi ya watu wake kupitia Mtumishi wa MUNGU Nabii Amos Mapigano. Amini TU!
✝️ Kanisa la Uweza wa Bwana Makao Makuu Arusha
📺Tazama, shiriki, barikiwa!
Hapa utapata:
✝️ Mahubiri
✝️Maombi ya nguvu na ukombozi
✝️ Ibada ya uponyaji na miujiza
✝️ Mafundisho ya Biblia
✝️ Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu
✝️ Vipindi vya kiroho vinavyokujenga katika imani
Lengo letu ni kueneza Injili ya Yesu Kristo, kuwafikia watu wenye uhitaji wa Mungu, na kuwaimarisha katika imani, tumaini na maisha ya ushindi.
Kama umebarikiwa na video hii, usisahau kulike, kushare na ndugu/ marafiki, kusubscribe ili usipitwe na vipindi vyetu vijavyo. Mungu akubariki sana.
👍LIKE | COMMENT |🔔SUBSCRIBE kwa Ibada kama hizi zenye mafundisho na miujiza.