Перейти к содержимому

Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439

Sauti Tamu

0:00 / 0:00

Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439

5 715 809 просмотров · 6 лет назад
Sauti Tamu
234 тыс. подписчиков
5 715 809 просмотров · 6 лет назад
Sasa wakati umefika wa kushika nilicho nacho Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi Sasa wakati umefika kwenda mbele za Mungu wangu Aone nilivyoandaa zawadi ya leo Nitamwambia Bwana pokea, hiki kidogo nilicho nacho Kwani Mungu wewe wanijua, mimi siwezi hata kueleza Nakusihi sana Baba unipokee Nigawie na baraka niwe salama Tazama anayekula mwili wako na nijaposema kwa lugha #SautiTamu #kwayakatoliki #Zilipendwa subscribe channel hii kwani nyingi zaja. Fuatilia pia channel ya Rajo Production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions kupata nyimbo nyingine za kwaya Katoliki Afrika Mashariki zikiwemo mimina neema maneno matamu wimbo ulio bora Bwana unibadili na neema ya Mungu. Nyimbo nyingine za sadaka zinazojulikana sana ni uzipokee sadaka, nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe Baba, Sadaka yangu kwako ee Mungu, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, sasa ndio wakati, na Beba mikononi sasa wakati umefika catholic song