Перейти к содержимому

Yu wapi mkalimani: Kiswahili chawakwamisha Wamasai vita ya Uviko-19

Nukta TV

0:00 / 0:00

Yu wapi mkalimani: Kiswahili chawakwamisha Wamasai vita ya Uviko-19

1 528 просмотров · 4 года назад
Nukta TV
25,4 тыс. подписчиков
1 528 просмотров · 4 года назад
Wakati maeneo mengine ya Tanzania yakipata taarifa kwa ufasaha kuhusu Uviko-19 wakazi wa Kijiji cha Msomero katika wilaya ya Handeni mkoani Tanga mambo kwao ni tofauti kidogo. Sehemu kubwa ya wakazi wake wanadai hawafahamu yanayoendelea nchini ikiwemo taarifa kuhusu janga la Corona kwa kukosa elimu na taarifa kwa lugha yao ya ya Kimasai. Kwa habari zaidi: Soma: https://nukta.co.tz/ Twitter:   / nuktatanzania   Facebook:   / nuktatanzania