Wanawake Wahimizwa Kuanza Kupanga Uzazi Ndani ya Saa 48 Baada ya Kujifungua
Dusted Lens News-Kenya
0:00 / 0:00
Wanawake Wahimizwa Kuanza Kupanga Uzazi Ndani ya Saa 48 Baada ya Kujifungua
307 просмотров · 7 дней назад
Dusted Lens News-Kenya
186 подписчиков
307 просмотров · 7 дней назад
Wanawake wahimiza kuanza kutumia njia za kupanga uzazi masaa 48 baada ya kujifungua ili kulea watoto walio na afya.
Kulingana na Daktari mkuu wa uzazi Daisy Ruto hatua hiyo itawasaidia kina mama kupata muda wa kutosha wa kupona na watoto kukua vyema.
Hata hivyo Dkt. Ruto amewashauri wanawake waliowahi kuharibikiwa na mimba kusubiri angalau miezi sita kabla ya kushika mimba tena na kuhudhuria kliniki za wajawazito katika kipindi chote cha ujauzito.
Haya yanajiri kufuatia kuimarishwa kwa hamasa ya kupanga uzazi inayoendeshwa na wakfu wa Fanikisha kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Kwale.