IBADA MAALUM YA FARAJA NYUMBANI KWA MCHUNGAJI KIONGOZI REV.DR.ZECHARIAH IGUNDU.KIBAHA -PWANI
FPCT MBEZI MAKONDENI
0:00 / 0:00
IBADA MAALUM YA FARAJA NYUMBANI KWA MCHUNGAJI KIONGOZI REV.DR.ZECHARIAH IGUNDU.KIBAHA -PWANI
68 просмотров · 13 дней назад
FPCT MBEZI MAKONDENI
341 подписчик
68 просмотров · 13 дней назад
Kuhani Nyumbani:
Ibada Maalum ya Faraja kwa Familia ya Baba Askofu Rev. Dr. Zechariah IgunduMwili wa Kristo ni mmoja, na tunapofurahi tunafurahi pamoja, tunapohuzunika tunafarijiana pamoja.
Mnamo tarehe 12 Septemba 2026, kanisa la FPCT Mbezi Makondeni pamoja na washirika wote, walitembelea nyumbani kwa Mchungaji Kiongozi, Rev. Dr. Zechariah Igundu, kufanya Ibada Maalum ya "Kuhani Nyumbani". Ibada hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuleta faraja, nguvu, na upendo wa Kristo kwa familia ya Mchungaji kiongozi mara baada ya kuondokewa na mama yake mzazi, ambaye mazishi yake yalifanyika mkoani Geita.
Tazama video hii mwanzo hadi mwisho uone jinsi kanisa lilivyosimama na mtumishi wa Mungu katika kipindi hiki cha majonzi, kupitia maombi, sifa, na neno la faraja.Kumbuka kusubscribe, kulike, na kushare ili kuwa baraka kwa wengine.
#FPCTMbeziMakondeni #RevDrZechariahIgundu #KuhaniNyumbani #IbadaYaFaraja #UpendoWaKristo #Geita #Faraja