IBADA YA JUMAPILI | AICT IGGC DODOMA | 20 SEPTEMBA 2026
AICT IGGC DODOMA
0:00 / 0:00
IBADA YA JUMAPILI | AICT IGGC DODOMA | 20 SEPTEMBA 2026
31 просмотр · 8 дней назад
AICT IGGC DODOMA
100 подписчиков
31 просмотр · 8 дней назад
WAKRISTO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
Karibu katika somo la Neno la Mungu kutoka AICT IGGC Dodoma, tukijifunza kupitia Waefeso 2:11–3:13 kuhusu utambulisho wetu ndani ya Kristo na nafasi yetu kama watu wa Mungu.
Kupitia Kristo Yesu, tuliokuwa mbali tumeletwa karibu kwa damu yake. Yesu amebomoa kuta za utengano na kutufanya kuwa wamoja, washiriki wa ahadi za Mungu na watu wa nyumbani mwake.
Katika somo hili, tutajifunza umuhimu wa:
Kuishi katika umoja na upendo wa Kristo.
Kudumu katika imani na utambulisho wetu ndani yake.
Kutambua kuwa sisi ni sehemu ya familia ya Mungu.
Kudhiirisha hekima ya Mungu na kutangaza utajiri wa neema yake kwa ulimwengu.
Ujumbe Mkuu: Katika Kristo, sisi si wageni tena, bali ni watu wa nyumbani mwa Mungu!
Mhubiri: Mwl. Joel Kahindu
Mstari wa Somo: Waefeso 2:11–3:13
Mahali: AICT IGGC Dodoma
Mungu atupe neema ya kuishi kama watu wa Ufalme wake, tukidumu katika umoja, upendo na kusudi lake.
Tafakari: Je, maisha yetu yanaudhihirishaje umoja na upendo tuliopewa ndani ya Kristo?
👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔔 SUBSCRIBE
Ikiwa somo hili limekubariki, usisahau kulike, kuandika maoni yako, kushare na kujiunga na channel yetu ya YouTube ili kufuatilia mafundisho mengine ya Neno la Mungu.
Shiriki ujumbe huu na wengine ili nao wajifunze na kubarikiwa!
#AICTIGGCDodoma #LeoLaTatikaBada #WakristoKatikaUlimwenguWaRoho #MwlJoelKahindu