Перейти к содержимому

Ndoa, sehemu ya 10 (06/10/2025)@pumziko1

REST

0:00 / 0:00

Ndoa, sehemu ya 10 (06/10/2025)@pumziko1

10 просмотров · 1 г. назад
REST
191 подписчик
10 просмотров · 1 г. назад
Ndoa, sehemu ya 10 (06/10/2025)‪@Restgunyu‬ Ni video yenye muendelezo wa somo hili Ndoa, ambapo katika muendelezo wa somo katika video hii, kuelezea sana kuhusu pumziko la ndoa, utambulisho wa ndoa kwa mapana yeke, umiliki wa ndoa yako ulimwenguni kote, jinsi ya kuipata ndoa,au jinsi ulivyo mpata ndoa, inaelezea kuwa upo katika ndoa ili iweje. katika video hii utapokea pumziko la ndoa yako, utapokea ndoa yako kwajinsi na jina lako, utaijua ndoa yako, utapokea raha ya jinsi ya uwepo wako hapo katika ndoa yako kwa aina yeyote ile, ila kwajina Moja utapokea pumziko au raha ya sura ya huo Uzao yaani ndoa. Kwakina namaelezo zaidi tazama video hiyo yote. Somo hili , Ndoa sehemu ya 10 (06/10/2025)@pumziko1 limeandaliwa na Pastor Andygunyu, kwamawasiliano zaidi kwaajili ya kupata ushauri, Neno la tamko la Pumziko, Matoleo, tumia namba za simu hizi. +255782015442 au +255782015442. Unaweza kutuma ujumbe au kupiga Mojakwamoja kwanjia ya kawaida au what's up. Kwa email miraclesofvoicegod@gmail.com Au pumzisholamungu@gmail.com. Pia usiache kutazama sehemu zote za somo hili Ndoa zilitumwa ,pia hili lililotumwa sasa hivi pia yote yatakatotumwa , hasa wiki ijayo siku Kama hii ya Leo litakuwepo katika ukurasa huu wa YouTube kwajina la: @pumzikoo na @pumziko1 #ndoa ,#Uchumba,#familia, #uwepo,#Mungu, #pumziko . Somo hili halijatolewa popote pale ila limetolewa na pastor Andygunyu (Pumziko)sawa na kutambulishwa kwake na sura ya uwepo wote ,nakuwa katika Pumziko hili. Sasa ukiona upo tofauti katika uwepo huo yaani huna Pumziko au Raha usiache kuwasiliana na pastor huyu na utapokea Neno la tamko la Pumziko.