PUMZIKO SEHEMU YA 9 (28/09/2025)@Restgunyu
REST
0:00 / 0:00
PUMZIKO SEHEMU YA 9 (28/09/2025)@Restgunyu
29 просмотров · 1 г. назад
REST
191 подписчик
29 просмотров · 1 г. назад
PUMZIKO SEHEMU YA 9 (28/09/2025)@Restgunyu ni Muendelezo wa mpangilio wa masomo yote kuanzia sehemu ya kwanza, ya nane, na sasa sehemu hii ya tisa.
• PUMZIKO SEHEMU YA 9 (28/09/2025)@Restgunyu
PUMZIKO sehemu ya 9 (28/09/2025)@Restgunyu ni video yenye somo linaloelezea kuhusu PUMZIKO ni nini, Utambulisho wa PUMZIKO ni upi, utalitambua vipi PUMZIKO au raha kwenye kuwepo kwako, ni nani aliye na PUMZIKO , imekuwaje huyo kuwa na pumziko, inaelezea kuhusu Mungu wa PUMZIKO, familia ya PUMZIKO,ndoa ya PUMZIKO, uzazi wa PUMZIKO, uchumba wa PUMZIKO, uwepo wa PUMZIKO ,yaani maisha yako ya pumziko.
Pia inaelezea jinsi PUMZIKO lilivyopatikana,pia litakavyoonekana au linavyoonekana, inaelezea maisha ya PUMZIKO yakoje,faida ya kuishi pumziko,najinsi yakuwa na PUMZIKO hilo.
MAELEZO MAFUPI YALIYO NDANI YA SOMO HILI LA PUMZIKO SEHEMU YA 9.
PUMZIKO jina la ukamilifu , ukamilifu huo unaloelezwa na kutambulishwa na sura ya Uwepo, kwamba sura ya uwepo ndiyo utambulisho au inayotambusha jina pumziko ambalo ndiyo jina lililobeba sura ya ukamilifu, ambao ndiyo unalitambulisha na kulitambua jina hilo. Najina la ukamilifu huo ndiyo hiyo sura ya uwepo inayotambulisha jina hilo pumziko.
Uwepo wa Mungu, uwepo wa familia,uwepo wa uzazi, uwepo wa ndoa,uwepo wa uchumba nk, ndiyo sura ya utambulisho wa jina hilo pumziko, kwakuwa sura inayolitambulisha ni kamili yaani uwepo,nakufanya PUMZIKO hilo kuwa nipumziko la uwepo huo kwakilajina la muonekano wa sura husika.
Kwakina namaelezo zaidi tazama video hiyo yote.
Somo hili la PUMZIKO SEHEMU YA 9(28/09/2025)@Restgunyu limeandaliwa na Pastor Andygunyu, kwamawasiliano zaidi kwaajili ya kupata ushauri, Neno la tamko la Mungu, Matoleo, tumia namba za simu hizi.
+255782015442 au +255782015442.
Unaweza kutuma ujumbe au kupiga Mojakwamoja kwanjia ya kawaida au what's up.
Kwa email miraclesofvoicegod@gmail.com
Au pumzisholamungu@gmail.com.
Pia usiache kutazama sehemu zote za somo hili PUMZIKO zilitumwa ,pia hili lililotumwa sasa hivi pia yote yatakatotumwa , hasa wiki ijayo siku Kama hii ya Leo litakuwepo katika ukurasa huu wa YouTube kwajina la:
@pumziko1 na @pumzikoo
@pumziko1
#ndoa ,#Uchumba,#familia, #uwepo,#Mungu, #pumziko .
Somo hili halijatolewa popote pale ila limetolewa na pastor Andygunyu (Pumziko)sawa na kutambulishwa na kutambuliwa kwake na sura ya uwepo wote. nakuwa katika Pumziko hili.
Sasa ukiona upo tofauti katika uwepo huo yaani huna Pumziko au Raha usiache kuwasiliana na pastor huyu na utapokea Neno la tamko la Pumziko.