Eunice Njeri: Edwin Sifuna ndiye anayeweza kulijaza lile pengo ambaye Hayati Raila Odinga aliwacha.
Radio Maisha
0:00 / 0:00
Eunice Njeri: Edwin Sifuna ndiye anayeweza kulijaza lile pengo ambaye Hayati Raila Odinga aliwacha.
979 просмотров · 16 часов назад
Radio Maisha
214 тыс. подписчиков
979 просмотров · 16 часов назад
Katika mahojiano haya ya Maisha Asubuhi, mtaalamu wa uongozi na utawala bora, Bi. Eunice Njeri, anazungumzia mwaka mmoja tangu kifo cha hayati Raila Odinga, akikumbuka ushawishi wake katika siasa za Kenya, mchango wake katika kutetea haki za wanawake na umuhimu wa wanawake kujitokeza kuwania nafasi za uongozi.
Pia, anatoa mtazamo wake kuhusu Edwin Sifuna na nafasi yake katika kujaza pengo lililoachwa na Baba katika siasa za Kenya.