Перейти к содержимому

Biashara Haramu Ya Bangi

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Biashara Haramu Ya Bangi

99 736 просмотров · 12 лет назад
Citizen TV Kenya
6,67 млн подписчиков
99 736 просмотров · 12 лет назад
Kwa mujibu wa sheria za humu nchini,matumizi ya bangi yameharamishwa.Hata hivyo kunao wanaokwenda kinyume na kuendehsa biashara hii.Isitoshe,wanaifanya kwa wazi katika mchana wa jua.Mwanahabari wetu Victor Wetende alizuru kaunti ya Kajiado,na kutafiti namna hata watoto wanavyohusishwa katika biashara hii,na kutuandalia makala yafuatayo ya madalali wa mihadarati.