Перейти к содержимому

Nipo Na Yesu- Mwimbo

Kuhani Benjamin uronu

0:00 / 0:00

Nipo Na Yesu- Mwimbo

190 просмотров · 8 дн. назад
Kuhani Benjamin uronu
347 подписчиков
190 просмотров · 8 дн. назад
Karibu kwenye channel rasmi ya KUHANI BENJAMIN URONU kutoka Kanisa la GALILAYA MPYA lililopo Salasala, Dar es Salaam, Tanzania. Hapa utapata mahubiri yenye nguvu, mafundisho ya neno la Mungu, maombi, ibada za sifa na kuabudu pamoja na ujumbe wa kuleta tumaini, imani na wokovu kupitia Yesu Kristo. Dhamira yetu ni kukuza imani yako, kukujenga kiroho, na kukuleta karibu zaidi na Mungu kupitia Roho Mtakatifu. Jiunge nasi kwa: • Mahubiri mapya kila wiki • Ibada za moja kwa moja (Live Services) • Maombi na mafundisho ya kila siku • Nyimbo za sifa na kuabudu Mahali: Salasala, Dar es Salaam – Tanzania Usisahau: ✔ Subscribe ✔ Like ✔ Share ✔ Bonyeza kengele ili upate taarifa za video mpya Mungu akubariki sana 🙏