Перейти к содержимому

Kama Una Miaka 30+ Angalia Hapa ( Miaka 20 Ruka Hii Video )

Doctor Daniel

0:00 / 0:00

Kama Una Miaka 30+ Angalia Hapa ( Miaka 20 Ruka Hii Video )

20 643 просмотра · 2 мес. назад
Doctor Daniel
64,1 тыс. подписчиков
20 643 просмотра · 2 мес. назад
Ukiwa umefikisha miaka 30+, usisubiri mpaka uanze kuumwa ndipo uanze kuichunguza afya yako. 🩺 Magonjwa mengi ya muda mrefu kama kisukari, presha, magonjwa ya moyo na baadhi ya saratani yanaweza kuanza kimya kimya bila dalili kubwa. Katika video hii, nimeelezea baadhi ya vipimo na health check-ups muhimu ambavyo vinaweza kusaidia kugundua changamoto za kiafya mapema — kabla hazijawa tatizo kubwa. 👉🏽 Kama una miaka 30+, video hii ni kwa ajili yako. 👉🏽 Kama una mzazi, ndugu au rafiki mwenye miaka 30+, mtumie video hii. Afya bora inaanza na kujua hali yako mapema. Usisubiri mwili ulazimike kukuambia. 🩺 Doctor Daniel — Nitakulazimisha uwe na afya bora, utake usitake. #Afya #HealthCheckup #MedicalCheckup #AfyaBora #Kisukari #Presha #Saratani #CancerAwareness #ChronicDiseases #PreventiveHealth #HealthAwareness #DoctorDaniel #Tanzania #SwahiliHealth #AfyaYaJamii