Tazama hali ilivyokuwa visiwani Zanzibar wakati wa zoezi la kupiga kura
Azam TV
0:00 / 0:00
Tazama hali ilivyokuwa visiwani Zanzibar wakati wa zoezi la kupiga kura
2 279 просмотров · 5 л. назад
Azam TV
3,33 млн подписчиков
2 279 просмотров · 5 л. назад
Shughuli ya kupiga kura ya kuwachagua viongozi mbalimbali imekwenda kwa salama na amani katika vituo mbalimbali vya kupigia kura katika visiwa vya unguja huku mwitikio wa wananchi umeonekana kuwa mkubwa. Baadhi ya waliopiga kura ni wagombea wa nafasi ya urais Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad, Rais Ali Mohamed Shein, pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz