Перейти к содержимому

YANGA YASHTUKA SELEMANI MWALIMU KUONDOKA/YAANZA MIKAKATI YA KUMBAKIZA MOJA KUTOKA WYDAD.

RG Online tv

0:00 / 0:00

YANGA YASHTUKA SELEMANI MWALIMU KUONDOKA/YAANZA MIKAKATI YA KUMBAKIZA MOJA KUTOKA WYDAD.

1 457 просмотров · 3 нед. назад
RG Online tv
922 подписчика
1 457 просмотров · 3 нед. назад
YANGA YAANZA MIKAKATI YA KUMBAKIZA SELEMANI MWALIMU ​Klabu ya Yanga imeanza kuweka mikakati ya kumbakiza mshambuliaji Selemani Mwalimu baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa mkopo, huku mabosi wa klabu hiyo wakianza mazungumzo ya awali kuhusu uwezekano wa kumsajili moja kwa moja. ​Mwalimu, ambaye kwa sasa yupo Yanga kwa mkopo, amekuwa sehemu ya mipango ya kikosi hicho na kiwango chake kimeifanya klabu hiyo kumfikiria zaidi, badala ya kumrejesha Wydad Casablanca ya Morocco inayomiliki mkataba wake.