SHULE YA MSINGI CHIWISI
Halmashauri ya Mji Masasi
0:00 / 0:00
SHULE YA MSINGI CHIWISI
128 просмотров · 4 недели назад
Halmashauri ya Mji Masasi
265 подписчиков
128 просмотров · 4 недели назад
Mradi wa Shule Mpya ya Msingi Chiwisi katika Halmashauri ya Mji Masasi umeongeza mahudhurio ya wanafunzi wa Kata ya Napupa na kuongeza ari ya kusoma.
Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha mazingira ya kusomea ili kuimarisha upatikanaji wa elimu bora kwa watoto na kupunguza changamoto ya umbali wa wanafunzi kufuata huduma za elimu.
Serikali inaendelea kusisitiza ushirikiano kati ya wananchi, viongozi na wadau wa elimu katika kuhakikisha miundombinu ya shule inaboreshwa na mazingira ya kujifunzia yanakuwa bora. #MasasiMjini #Elimu #Masasi