Перейти к содержимому

BAWAZIRI ACHANGIA BATI 60 KWA AJILI YA UKARABATI WA CHOO

Radiojamii Kilosa

0:00 / 0:00

BAWAZIRI ACHANGIA BATI 60 KWA AJILI YA UKARABATI WA CHOO

58 просмотров · 3 дня назад
Radiojamii Kilosa
241 подписчик
58 просмотров · 3 дня назад
Mwenyekiti wa vijana BAKWATA wilaya ya Kilosa Abubakari Omary Bawaziri ameahidi kuchangia Bati sitini(60) kwa ajiri ya ukarabati wa vyoo vya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kichangani iliyopo Kata ya Mkwatani Wilaya ya Kilosa Akizungumza leo 22 septemba 2026 akiwa Mgeni rasmi katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi katika shule hiyo Amesema Serikali imekuwa ikifanya kazi kubwa kuwajengea mazingira Bora wanafunzi kuhakikisha wanasoma mahali salama Kwa Upande wake Mkuu wa Shule ya Msingi Kichangani Ndg Wazia Isumaili Malipula amemshukuru ndg Bawaziri kwa kuchangia Bati sitini kwa ajili ya ujenzi vyoo.