SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUADHIMISHWA TANGA OKTOBA 16
Daily News Digital
0:00 / 0:00
SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUADHIMISHWA TANGA OKTOBA 16
63 просмотра · 21 ч назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
63 просмотра · 21 ч назад
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo ameeleza hayo mkoani Dodoma wakati wa mkutano na waandishi wa habari akiwataka wananchi kuhudhuria kwa wingi viwanjani hapo kuanzia Oktoba 10 ambapo maadhimisho hayo yataanza mpaka kufikia kilele chake.
-
Chongolo amesema maadhimisho ya mwaka huu yenye Kaulimbiu ‘UBUNIFU WA LEO, LISHE BORA YA KESHO: KUELEKEA DIRA 2050’ yamebeba ujumbe wa ubunifu katika kilimo si chaguo tena; ni hitaji la Taifa. Chakula cha kutosha ni msingi wa usalama wa nchi, lishe bora ni msingi wa rasilimali watu yenye tija, na kilimo chenye ushindani ni msingi wa uchumi imara.
-
Imeandaliwa na Fadhili Akida
-
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09