Перейти к содержимому

SKILIZA (KISOMO CHA QORAN) KUTOKA MADINAH KUELEKEA MAKKAH TUKUFU YA ALLAH-Sheikh Abdalhamid- Post 2

Abdalhamid Islamic Academy

0:00 / 0:00

SKILIZA (KISOMO CHA QORAN) KUTOKA MADINAH KUELEKEA MAKKAH TUKUFU YA ALLAH-Sheikh Abdalhamid- Post 2

152 просмотра · 11 дн. назад
Abdalhamid Islamic Academy
48 подписчиков
152 просмотра · 11 дн. назад
🕋Umrah ya Ramadan iliopita mwaka huyu 2026 tulibahatika kuwepo Madinah.Kutoka Madina ya Mtume ﷺ kuelekea Makkah 🕋🤍 Safari ya moyo kuelekea kwenye nyumba tukufu ya Allah. Ewe Allah, ifanye safari hii iwe yenye baraka, ukubali ibada zetu, tusamehe madhambi yetu na uturudishe salama tukiwa na nyoyo zilizojaa imani. 🤲🏽✨ Labbaika Allahumma Labbaik… 🕋❤️ Abdalhamid Islamic Academy TV 📺ni chaneli ya Kiislamu inayokuletea mawaidha, darsa, khutba, mihadhara, na matukio mbalimbali ya kidini kutoka Afrika Mashariki na Bara la Ulaya na duniani kwa ujumla. ✅Usisahau: ✅Subscribe ✅Like & Share ✅Comment maoni yako 🔔Bonyeza kengele ya arifa ili usipitwe na video mpya kila siku! 🌍Tufatilie zaidi kupitia : YouTube: Abdalhamid Islamic Academy 📞 WhatsApp: +257 77 95 71 98 | +255 793 257 070 | +966 56 023 7198 ✉️ Email: abdalhamidyussuf@gmail.com MADA ZA VIDEO ZETU: Maisha ya Mtume (s.a.w) Mawaidha ya Imani Malezi ya Kiislam Mahusiano ya ndoa Fiqh ya ibada Mafundisho ya Qur'an & Hadith Elimu kwa jamii TAGS (Keywords): #AbdalhamidIslamicAcademy #Fuatadiniyako #Uislamu #ElimuyaKiislamu #MawaidhayaKiislamu #Quran #Tajweed #HadithizaMtume #MaishayaMtume #UjumbewaKiislamu #Dakikazadini #Mawaidhayaleo #Ramadhan #Rajab #Hijja #Saumu #Swalatano #Hakizawazazi #Kifo #SikuyaQiyama #Diniyahaki #Islamicreminders #Islammotivation #Learnlslam #Quranrecitation #Islamicvideos #Islamicknowledge #Islamiclectures #Sheikhlecture #Dinikwavijana #MuamalawaKiislamu #Islamicshortclips #TafsiryaQuran #Imaninaltikadi #Sunnah #DarsayaKiislamu #SwalinaJibuKiislamu #MuongozowaKiislamu #Islamiclifestyle #Muslimfamily #Islamicvalues #Islamicteachings #Muslim #ummah #Islamicawakening #Dhikr #Dua # Islamic peace #Allahisgreat #ProphetMuhammad #Hadithoftheday #Halallifestyle