KUTOKA MADINAH YA MTUME KUELEKEA MAKKAH TUKUFU YA ALLAH - Sheikh Abdalhamid - Post 1
Abdalhamid Islamic Academy
0:00 / 0:00
KUTOKA MADINAH YA MTUME KUELEKEA MAKKAH TUKUFU YA ALLAH - Sheikh Abdalhamid - Post 1
199 просмотров · 12 дн. назад
Abdalhamid Islamic Academy
48 подписчиков
199 просмотров · 12 дн. назад
Umrah ya Ramadan iliopita mwaka huyu 2026 tulibahatika kuwepo Madinah, kutoka Madina ya Mtume ﷺ kuelekea Makkah 🕋🤍
Safari ya moyo kuelekea kwenye nyumba tukufu ya Allah.
Ewe Allah, ifanye safari hii iwe yenye baraka, ukubali ibada zetu, tusamehe madhambi yetu na uturudishe salama tukiwa na nyoyo zilizojaa imani. 🤲🏽✨
Labbaika Allahumma Labbaik… 🕋❤️